Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mazungumzo ya vijana

Papa Francisko amekutana mjini Vatican na wawakilishi wa dini ya Utao kutoka Taiwan

Papa Francisko amekutana mjini Vatican na wawakilishi wa dini ya Utao kutoka Taiwan

Papa amekutana na wawakilishi wa dini ya Utao kutoka Taiwan

14/03/2018 15:51

Tarehe 14 Machi 2018 majira ya asubuhi, Papa Francisko amekutana na kusalimiana na wajumbe wawakilishi wa dini ya Utao kutoka Taiwan katika ukumbi mdogo wa mikutano wa mwenye heri Paulo VI.Wakakati wa kutoa neno  bila maandishi,amewashukuru ujio wao  na kwa maneno ya hotuba yao

 

 

 

 

 

Vijana wanahitaji kusindikizwa ili wasikosee mang'amuzi ya miito yao

Vijana wanahitaji kusindikizwa ili wasikosee mang'amuzi ya miito yao

Kardinali Bassetti anasema vijana wasaidiwe katika miito yao ya maisha!

04/01/2018 14:57

Kwa vijana inahitajika kuwasha cheche za matumaini ya kujitoa na si kujifunga binafsi.Kujitwika mzigo kwa upendo na kuwasaidia wengine: bahati mbaya kadiri siku zinavyokwenda mbele,upo utambuzi kwamba,wapo vijana ambao ni kama sehemu za pembezoni,wenye kuhitaji msaada wa maisha.

 

Papa amekutana na wawakilishi wa Baraza la Kipapa la Mazumguzo ya kidini na Kamati ya Palestina kwa ajili ya Mazungumzo ya kidini.

Papa amekutana na wawakilishi wa Baraza la Kipapa la Mazumguzo ya kidini na Kamati ya Palestina kwa ajili ya Mazungumzo ya kidini.

Papa:Mazungumzo yanawezekana kwa ngazi zote:binafsi,sala,familia na jamii

06/12/2017 16:38

Tarehe 6 Desemba 2017,Baba Mtakatifu amekutana na wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya mazungumzo ya kidini  na wahusika wa kidini kutoka nchi ya Palestina mjini Vatican,ambapo amefurahi kukutana nao wakiwa katika utafiti na ugunduzi,ili waweze kuunda Makundi ya kazi ya kudumu 

 

Vijana 100 kutoka katika dunia wamefika Madaba Jordan katika Kambi ya amani duniani kuanzia 17 -22 Sptemba na 22-25 Septemba,Jukwaa la elimu ya amani

Vijana 100 kutoka katika dunia wamefika Madaba Jordan katika Kambi ya amani duniani kuanzia 17 -22 Sptemba na 22-25 Septemba watafanya Jukwaa kuhusu elimu ya amani na mazungumzo ya kidini

Vijana 100 huko Madaba kwa ajili ya Kambi ya Amani ya Vijana duniani

20/09/2017 14:52

Tangu tarehe 17 hadi 22 Septemba vijana 100 kutoka duniani watakuwa Madaba Jordan katika Kambi ya Amani ya vijana.Watajikita katika shughuli za kujitolea kwenye makambi ya wakimbizi kutoka nchi za Siria na Iraq katika nchi hiyo.Na 22-25Septemba watafanya Jukwaa juu ya elimu ya amani

 

 

Kardinali Ravasi anasema ni lazima kutafuta uzuri na siyo kwa maana ya upimaji lakini pia kama uhalali, wa kuweza kuwajibika kijamii na utamadu

Kardinali Ravasi anasema ni lazima kutafuta uzuri na siyo kwa maana ya upimaji lakini pia kama uhalali, wa kuweza kuwajibika katika kijamii na utamaduni ambayo ni njia aliyotekeleza Mtakatifu Francisko enzi zake.

Kard.Ravasi: Lazima kuwa na ujasiri wa kurudia thamani ya historia

19/09/2017 14:13

Kardinali Gianfranco Ravas Menyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya utamaduni, ameelezea maana ya mkutano wa majadiliano ya utamaduni uliofanyika Asizi Italia kwamba,mada ya mkutano imejikita katika njia kwa maana ya kutaka kuwa na ujasiri wa kurudia upya thamani ya historia ya maisha

 

Kauli mbiu ya ziara ya Baba Mtakatifu nchini Colombia inasema, hebu tufanye hatua ya kwanza

Kauli mbiu ya ziara ya Baba Mtakatifu nchini Colombia inasema, hebu tufanye hatua ya kwanza

Ziara ya Papa nchini Colombia ni ishara ya mapatano kwa wote

26/08/2017 15:33

Ratiba ya ziara ya Baba Mtakatifu Francisko kwenda nchini Colombia itakuwa wiki ijayo kuanzia tarehe 6 hadi  11 Septemba 2017. Ni safari yenye lengo la kutaka kuhamasisha mapatano  kama inavyojieleza katika kauli mbiu  iliyochaguliwa ya ziara “Hebu tufanye hatua ya kwanza”.

 

Baba Mtakatifu Francisko anatumia njia ya mitandao ya kijamii kama Tweet kuwasiliana na vijana moja kwa moja

Baba Mtakatifu Francisko anatumia njia ya mtandao ya kijamii kama Tweet kuwasiliana na vijana moja kwa moja

Ingia Tovuti ya Youthsynod2018.va kwa ajili ya vijana ufunguke!

14/08/2017 09:38

Kardinali Baldisseri Katibu Mkuu wa Sinodi ya Maaskofu anaungana na mpango wa Baba Mtakatifu Francisko katika kutoa ujumbe wa tweet kwa vijana kwa njia ya mitandao ya kijamii.Hiyo ni njia ya Baba Mtakatifu kuweza kuongea na vijana moja kwa moja kwa njia za mitandao ya kijamii.

 

Vijana wa kujitolea kutoka Austria wamefanya uzoefu na vijana nchini Ethiopia kwa wiki tatu katika jimbo la Meki

Vijana wa kujitolea kutoka Austria wamefanya uzoefu na vijana nchini Ethiopia kwa wiki tatu katika jimbo la Meki

Vijana wa Jimbo Vorarlberg Austria kufanya uzoefu na vijana wa Ethiopia

03/08/2017 15:01

Caritas nchini Austria inashirikiana na mipango ya kijamii nchini Ethiopia kwa miaka 15.Vijana 13 wa kike na kiume wa Vorarlberg wamerudi kutoka nchini Ethiopia hivi karibuni  baada ya kufanya uzoefu wa wiki tatu.Moja ya mipango mitatu,walipanda miti ya maembe katika familia 60 huko Meki