Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Maporomoko ya ardhi

Papa Francisko asikitishwa na maafa makubwa yaliyotokea nchini Japan kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo.

Papa Francisko asikitishwa na maafa makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa pamoja na maporomoko ya udongo.

Papa Francisko asikitishwa na maafa makubwa ya watu na mali zao, Japan

10/07/2018 10:05

Baba Mtakatifu Francisko amesikitishwa sana kutokana na maafa makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japana na hivyo kusababisha marufiko na maporomoko ya udongo kwenye makazi ya watu! Tayari watu kadhaa wamekwishafariki dunia na wengine kulazimika kuyahama makazi yao!