Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Madhabahu ya Knock Ireland

Askofu Mkuu Eamon Martin Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Ireland ameelezea ratiba ya Ziara ya Papa Francisko 25-26 Agosti 2018

Askofu Mkuu Eamon Martin Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Ireland ameelezea ratiba ya Ziara ya Papa Francisko 25-26 Agosti 2018

Mkutano wa Familia Duniani ni fursa ya kuadhimisha na kusaidia familia!

12/06/2018 16:18

Mkutano Mkuu wa Familia Duniani utakuwa ni fursa ya kuadhimisha, kuthibitisha, kutambua na kusaidia familia. Ni kwa mujibu wa Askofu Mkuu Eamon Martin, Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Ireland  kwa vyombo vya habari huko Maynooth tarehe 11 Juni 2018, akielezea ratiba Ziara ya Papa

 

Waamini kutoka majimbo 56 ya Ireland waliunganika pamoja katika madhabahu ya Mama Yetu wa Knock kuadhimisha Sikukuu ya Mwili na Damu ya Yesu Kristo

Waamini kutoka majimbo 56 ya Ireland waliunganika pamoja katika madhabahu ya Mama Yetu wa Knock kuadhimisha Sikukuu ya Mwili na Damu ya Yesu Kristo

Maandamano ya Ekaristi Takatifu ni mwendo wa Yesu katika umisionari !

05/06/2018 13:34

Hija ya kitaifa katika madhabahu ya Mama Maria wa Knock nchini Ireland imefanywa na waamini kutoka katika maparokia 56, siku ya tarehe 3 Juni 2018 mahali ambapo Kanisa lilikuwa linaadhimisha Sikukuu ya Mwili na Damu ya Yesu Kristo kwa kuongozwa na Askofu Denis Nulty nchini Ireland.

 

Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani kwa Mwaka 2018 yazinduliwa rasmi

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland limezindua rasmi maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani kwa Mwaka 2018.

Mkutano wa IX wa Familia duniani 2018 kuanza maandalizi mjini Dublin

22/08/2017 14:52

Kuanzia tarehe 21 hadi 26 Agosti 2018 Dublin utafanyika Mkutano wa IX duniani wa Familia wenye kauli mbiu “Injili ya familia:ni furaha katika Ulimwengu. Kutokana na hilo Askofu Mkuu na katibu Mkuu wamewasilisha maandalizi ya Mkutano huo katika madhabau ya taifa ya mama Maria huko Knoc