Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kuwasindikiza vijana

Kardinali Pasinya ni mmoja kati ya washauri 9 wa Baba Mtakatifu anasema, ipo haja ya kuwasaidia vijana Afrika

Kardinali Pasinya ni mmoja kati ya washauri 9 wa Baba Mtakatifu anasema, ipo haja ya kuwasaidia vijana Afrika

Kanisa Afrika leo hii linajikita na vijana wapate kujitambua !

18/06/2018 08:46

Kanisa leo hii Afrika ndiyo ilikuwa mada ya Mkutano wa Kardinali Laurent Monsegwo Pasinya, Askofu Mkuu wa Kinshasa  nchini DRC na mmoja kati ya makardinali tisa  washauri wa Baba Mtakatifu Francisko na baadhi ya waandishi wa habari Vatican News katika Ukumbi wa Marconi tarehe 14 Juni 2018.

 

Tarehe 12 -15 Aprili kongamano la 62 la Waseminari nchini Italia, na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi Kongamano la Vijana wamissionari-R

Tarehe 12 -15 Aprili kongamano la 62 la Waseminari nchini Italia, na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi Kongamano la Vijana wamisionari huko Sacrofano -Roma

Kongamano la 62 kitaifa la Waseminari kuanzia 12-15 Aprili huko Padua!

11/04/2018 13:29

Tarehe 12 -15 Aprili litafanyika Kongamano la 62 la kitaifa kwa Waseminari nchini Italia litakalofanyika  huko Padua;na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi litafanyika Kongamano la Vijana wamisionari huko Sacrofano-Roma likiongozwa na kauli mbiu:lakini kwakuwa umesema nitatupa ndoto zangu

 

Papa Francisko amekutana katika ukumbi wa Papa Paulo VI, karibia vijana elfu tatu kutoka jimbo la Brescia nchini Italia

Papa Francisko amekutana katika ukumbi wa Papa Paulo VI, karibia vijana elfu tatu kutoka jimbo la Brescia nchini Italia

Papa na Vijana wa Brescia Italia:Jikane binafsi na kuvua utu wa zamani!

07/04/2018 16:00

 Baba Mtakatifu Francisko Jumamosi  tarehe 7 Aprili 2018 amekutana na vijana kutoka Jimbo Katoliki  la Brescia nchini Italia  kwenye  Ukumbi wa Mwenyeheri Paulo VI.Amewaalika wamfuase Mungu wa upendo kwa kujikana binafsi na hasa kuvua kile kiitwacho katika Biblia,utu wa zamani. 

 

Askofu Domenico Battaglia amendika ujumbe wa kwaresima kwa ajili ya vijana wenye kauli mbiu:Ni kujifunika wakati wa usiku ukisubiri machweo!

Askofu Domenico Battaglia amendika ujumbe wa kwaresima kwa ajili ya vijana wenye kauli mbiu:Ni kujifunika wakati wa usiku ukisubiri machweo !

Barua ya Askofu D.Battaglia kwa Vijana! Mapambazuko mapya!

21/02/2018 08:55

Barua ya kichungaji ya kwaresima mwaka 2018 ya Askofu Domenico Battaglia wa Jimbo la Cerreto Sannita,nchini Italia na kauli mbiu,ni kujifunika usiku wakati ukisubiri machweo ya jua.Ni barua kwa wote lakini zaidi kuwatazama kwa karibu vijana ili kuwapa ushauri jinsi gani ya kuishi maisha ya ujana

 

Vijana wanahitaji kusindikizwa ili wasikosee mang'amuzi ya miito yao

Vijana wanahitaji kusindikizwa ili wasikosee mang'amuzi ya miito yao

Kardinali Bassetti anasema vijana wasaidiwe katika miito yao ya maisha!

04/01/2018 14:57

Kwa vijana inahitajika kuwasha cheche za matumaini ya kujitoa na si kujifunga binafsi.Kujitwika mzigo kwa upendo na kuwasaidia wengine: bahati mbaya kadiri siku zinavyokwenda mbele,upo utambuzi kwamba,wapo vijana ambao ni kama sehemu za pembezoni,wenye kuhitaji msaada wa maisha.

 

Vijana wajifunze hekima kutoka Mungu na katika urithi wa babu na wazazi wao!

Vijana wajifunze hekima kutoka Mungu na katika urithi wa babu na wazazi wao!

Papa:Vijana wajifunze hekima kutoka kwa Mungu na urithi wa babu na wazazi wao!

02/12/2017 17:09

Kama ilivyokuwa nchini Myanmar hata ziara nchini Bangladesh imemalizika na mkutano kati ya vijana na Baba Mtakatifu.Mbele ya Baba Mtakatifu Vijana wamecheza ngoma za utamaduni wao:nyimbo nzuri wakionesha furaha.Kwa vijana elfu 7 amewaomba wawe na hekima ya kurithi babu na wazazi wao!

 

Misa ya Vijana huko Yangon nchini Myanmar ilipambwa  kwa rangi nyingi za utamaduni na pia mavazi yao

Nikiwatazama ninyi vijana wa nanyi tafakari la Somo la kwanza linalojikita ndani ya Moyo wangu.

Papa:Vijana wa Myanmar wako tayari kupeleka habari njema ya Kristo!

30/11/2017 11:49

Misa ya Baba Mtakatifu Francisko kwa Vijana katika Kanisa Kuu Yangon, kabla ya kuanza ziara ya kwenda nchini Bangladesh anasema:Nikiwa nakaribia kumaliza ziara yangu,ninaungana nanyi kumshukuru Mungu kwa neema nyingi tulizo pokea kwa siku hizi.Vijana msiwe na hofu ya kushudia Kristo

 

Mama Kanisa anajiandaa kuadhimisha Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, ili kuwasikiliza na kuwajengea uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha

Mama Kanisa anajiandaa kuadhimisha Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana ili kujenga utamaduni wa kuwasikiliza na kuajengea vijana uwezo wa kupambana na changamoto za maisha.

Semina ya Kimataifa kuhusu vijana kuanza kutimua vumbi 11-15 Septemba

06/09/2017 11:51

Semina ya Kimataifa kuhusu vijana iliyoandaliwa na Sekretarieti kuu ya Sinodi za Maaskofu ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana itakayoadhimishwa mjini Vatican mwezi Oktoba, 2018. Kanisa linapenda kuwasikiliza vijana ili kuwajengea uwezo katika maisha!