Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Carlo Caffarra

Kardinali Carlo Caffarra alikuwa  mkweli kwani upendo wake usio na upeo ulimfanya kutii daima kwa ajili ya Yesu na kwa ajili ya Kanisa .

Kardinali Carlo Caffarra alikuwa mkweli kwani upendo wake usio na upeo ulimfanya kutii daima kwa ajili ya Yesu na kwa ajili ya Kanisa .

Marehemu Kard. Caffarra alikuwa na ibada Kuu ya Ekaristi

09/09/2017 16:02

Jumamosi 9 Septemba 2017 Kanisa Kuu la Bologna limemsindikiza kwa sala katika safari yake ya mwisho Kardinali Carlo Caffarra katika Ibada Kuu ya Misa iliyoongozwa na Askofu Mkuu Matteo Zuppi.Katika Mahubiri yake,amemkubuka Marehemu alivyohudumia kwa upendo upeo Kanisa na binadamu 

 

Baba Mtakatifu Francisko ametuma salamu zake za rambi rambi kwake Askofu Mkuu Matteo Zuppi kufuatia  kifo cha Kardinali Carlo Caffarra Bologna Italia

Baba Mtakatifu Francisko ametuma salamu zake za rambi rambi kwake Askofu Mkuu Matteo Zuppi kufuatia kifo cha Kardinali Carlo Caffarra Jimboni Bologna Italia

Papa amesikitishwa na kifo cha Kard. Carlo Caffarra wa Bologna Italia

09/09/2017 09:16

Katika salama za rambirambi kufutaiwa kifo Carlo Caffara,Baba Mtakatifu anaeleza  juu ya huduma yake ya kichungaji kwamba aliitenda kwa uamninifu, furaha na upendo wa kina kwa Kanisa. Juhudi zake pamoja na ukarimu wa kitume  hasa akiwa mstari katika  masuala ya ndoa na familia

 

Kanisa Katoliki limempoteza Ask. Mkuu mstaafu Kard. Carlo Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna aliye aga dunia tarehe 6 Septemba 2017

Kanisa Katoliki limempoteza Ask. Mkuu mstaafu Kard. Carlo Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna aliye aga dunia tarehe 6 Septemba 2017

Ask. Mkuu mstaafu Kard. C. Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna Italia ameaga dunia

07/09/2017 14:37

Tarehe 6 Septemba 2017 Jimbo Kuu Katoliki la Bologna nchini Italia limempoteza Askofu Mkuu msataafu Kard. Carlo Caffarra.Maisha yake ya katika wito yamemwongoza hadi kufikia siku yake ya mwisho ya kurudi kwake Mungu.Atakumbukwa katika utaalamu wa mafunzo ya familia na ndoa