Tarehe 6 Desemba 2017,Baba Mtakatifu amekutana na wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya mazungumzo ya kidini na wahusika wa kidini kutoka nchi ya Palestina mjini Vatican,ambapo amefurahi kukutana nao wakiwa katika utafiti na ugunduzi,ili waweze kuunda Makundi ya kazi ya kudumu
Vijana 100 kutoka katika dunia wamefika Madaba Jordan katika Kambi ya amani duniani kuanzia 17 -22 Sptemba na 22-25 Septemba watafanya Jukwaa kuhusu elimu ya amani na mazungumzo ya kidini
Tangu tarehe 17 hadi 22 Septemba vijana 100 kutoka duniani watakuwa Madaba Jordan katika Kambi ya Amani ya vijana.Watajikita katika shughuli za kujitolea kwenye makambi ya wakimbizi kutoka nchi za Siria na Iraq katika nchi hiyo.Na 22-25Septemba watafanya Jukwaa juu ya elimu ya amani
Mitandao ya kijamii: