Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo Kuu la Jakarta

Viongozi wa dini tofauti nchini Indonesia wameungana kutetea umoja wao wakati wa mfungo wa ramadhani

Viongozi wa dini tofauti nchini Indonesia wameungana kutetea umoja wao wakati wa mfungo wa ramadhani

Utetezi wa utofauti, Indonesia ndiyo wito uliotolewa na viongozi wa dini !

08/06/2018 11:36

Kutetea utofauti nchini Indonesia ndiyo wito ulio tolewa na viongozi wa madhehebu mbalimbali na utamaduni walio unganika hivi karibuni  wakati wa fursa ya mwezi wa Ramadhani katika Kanisa Kuu katoliki la Jakarta,siku ya maadhimisho ya Pancasila ambayo ni kadi ya misingi mitano na kiini cha Katiba 

 

Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake wa  salam na matashi mema kwa vijana wote waliokusanyika katika hitimisho la Siku ya Vijana Barani Asia

Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake wa salam na matashi mema kwa vijana wote waliokusanyika katika hitimisho la Siku ya Vijana Barani Asia.

Papa awatia moyo vijana wa Asia kusikiliza sauti ya Mungu

07/08/2017 15:59

 Ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko kwa Vijana Barani Asia wakati wa kuhitimisha siiku hiyo, unawatia moyo vijana kwamba waweze kuwa makini katika kusikiliza sauti ya Mungu anayowauta , na kujibu wito wao kwa imani na ushupavu.Anawaalika pia katika Siku ya Vijana Duniani mwaka 2019

 

Katika Siku ya Vijana Barani Asia waunganika Jakarta nchini Indonesia kuanzia tarehe 30 Julai hadi 9 Agosti 2017

Katika Siku ya Vijana Barani Asia waunganika Jakarta nchini Indonesia kuanzia tarehe 30 Julai hadi 9 Agosti 2017

Vijana Katoliki Barani Asia kuunganika Jakarta nchini Indonesia

31/07/2017 14:52

Katika kuadhimisha Siku ya Vijana barani Asia 2017,vijana wameunganika katika nchi ya Indonesia.Sherehe hiyo ya vijana imegawanyika katika sehemu kuu tatu, vijana wameanzia na makutano katika majimbo mbalimbali; pia kuunganika katika mji wa Jakarta kwa ajili ya katekesi, liturjia na kushirikishana

 

Maadhimisho ya Miaka 210 tangu kuanzishwa kwa Jimbo kuu la Jakarta yamekuwa ni kipindi cha kuimarisha tunu msingi za maisha ya kifamilia na kiutu.

Maadhimisho ya kumbu kumbu ya miaka 210 tangu kuanzishwa kwa Jimbo kuu la Jakarta nchini Indonesia kimekuwa ni kipindi cha kuimarisha tunu msingi za maisha ya kifamilia na kiutu.

Familia ni shule ya uhai: simameni kidete kupinga utamaduni wa kifo!

19/07/2017 07:59

Jimbo kuu la Jakarta nchini Indonesia linaendelea kumwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa kuadhimisha kumbu kumbu ya miaka 210 tangu Jimbo hilo lilipoanzishwa! Hii imekuwa ni fursa ya kuimarisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia; umuhimu wa Paroakia na vyama vya kitume!

Miaka 210 ya Uinjilishaji nchini Indonesia

Kanisa nchini Indonesia kuadhimisha miaka 210 ya Uinjilishaji

Jakarta yaadhimisha miaka 210 ya Uinjilishaji

16/06/2017 14:41

Jimbo kuu la Jakarta laadhimisha miaka 210 ya Uinjilishaji nchini Indonesia na kwa namna ya pekee waamini wamepata nafasi ya kujadiliana namna ya kuboresha ushuhuda wa tunu za familia za kikatoliki na makuzi bora kwa vijana.