Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Askofu Mkuu Mkuu Marcel Utembi Tapa wa Kisangani, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Congo amefungua semina moja huko Kinshasa

Askofu Mkuu Mkuu Marcel Utembi Tapa wa Kisangani, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Congo amefungua semina moja huko Kinshasa

Semina ya Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Kanda ya maziwa makubwa

06/06/2018 14:41

Hivi karibuni mjini Kinshasa imemalizika semina ya siku mbili ambayo ilikuwa na matunda ya kutafakari na kubadilishana utendeji wa shughuli zao za kitume, iliyoandaliwa na Shirikisho la Mabaraza ya Maakofu wa Kanda ya Afrika ya kati (Aceac) kwa kufunguliwa na  Askofu Mkuu,Marcel Utembe Tapa

Katika kuadhimisha Siku ya Afrika, madaktari na Afrika CUAMM wanahamasisha umuhimu wa kufanya kazi pamoja kwa ajili ya maendeleo endelevu

Katika kuadhimisha Siku ya Afrika, madaktari na Afrika CUAMM wanahamasisha umuhimu wa kufanya kazi pamoja kwa ajili ya maendeleo endelevu

Cuamm:Siku ya Afrika, kufanya kazi na... kwa ajili ya maendeleo endelevu!

25/05/2018 13:23

Tarehe 25 Mei ya kila mwaka ni siku ya Afrika Dunia,ambapo maadhimisho hayo kwa mwaka 2018 yanaongozwa na kauli mbiu,kufanya kazi na...kwa ajili ya wakati endelevu uli bora kwa mujibu wa madaktari na Afrika Cuamm ambao huduma yao inajieleza katika kusaidia sekta ya Afya barani Afrika. 

Baba Mtakatifu francisko aliomba kusali na kufunga kwa ajili ya amani duniani tarehe 23 Februari 2018

Baba Mtakatifu francisko aliomba kusali na kufunga kwa ajili ya amani duniani tarehe 23 Februari 2018

Tarehe 23 Februari Waumini wote mnaalikwa kusali na kufunga kwa ajili ya amani

22/02/2018 16:23

Siku ya sala na kufunga kwa ajili ya amani tarehe 23 Februari 2018 ni kwa dunia nzima kualikwa kwa namana ya oeke kusali kwa ajili ya amani ya Jamhuri ya Demokrasia  ya Congo, udan ya Kusini na mahali popote penye ghasia vurugu na vita kwa mujibu wa mapendekezo ya Baba Mtakatifu Francisko

Tazama na mimi ninajiandikisha kwa njia ya Intaneti kuudhuria Siku ya Vijana duniani huko Panama 2019

Tazama na mimi ninajiandikisha kwa njia ya Intaneti kuudhuria Siku ya Vijana duniani huko Panama 2019

Kuzindua kujiandikisha kwa njia ya Intaneti katika Siku ya Vijana duniani!

12/02/2018 16:07

Leo hii unazinduliwa mchakato wa kujiandikisha kwa Siku ya Vijana Duniani ambayo inatafanyika Panama mwezi Januari 2019.Hata mimi kwa uwepo wa vijana wawili,ninajiandikisha kwa njia ya Interneti.Papa anaongeza kusema,tazama nimejiandikisha sasa kama mhujaji wa Siku ya Vijana Duniani.

Wimbi kubwa la watu kutoka DRC kuelekea Rwanda,Burundi,Uganda na Tanzania wakikimbia ghasia!

Wimbi kubwa la watu kutoka DRC kuelekea Rwanda,Burundi,Uganda na Tanzania wakikimbia ghasia!

Kuna ongezeko la wimbi la watu kuikimbia nchi ya DRC kutokana na ghasia!

01/02/2018 09:36

Shirika la Wakimbizi UNHCR la Umoja wa Mataifa linaonesha wasiwasi kutokana na ongezeko la vurugu kwa upande wa mashariki ya DRC ambapo imesababisha idadi kubwa ya watu kuondoka katika makazi yao na kwenda mashariki ya nchi katika mipaka ya Burundi,Rwanda,Uganda na Tanzania

Kwa sala tupande mbegu ya amani katika ardhi ya Sudan Kusini na DRC kwa Mungu hakuna lisilo wezekana!

Kwa sala tupande mbegu ya amani katika ardhi ya Sudan Kusini na DRC kwa Mungu hakuna lisilo wezekana!

Papa:Kwa sala tupande mbegu ya amani katika ardhi ya Sudan Kusini na DRC!

24/11/2017 09:29

Papa:Kwa sala tunataka kupanda mbegu ya amani katika ardhi ya Sudan ya Kusini na ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo,na kila ardhi iliyojeruhiwa na Vita. Nilikuwa nimeshapanga kutembelea nchi ya Sudan ya Kusini,lakini haikuwezekana,lakini tunatambua kuwa sala ni muhimuni yenye nguvu