Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baraza la Maaskofu Italia

katika kuadimisha miaka 25 ya waraka wa nilikuwa mgeni mkanikaribisha, inasisitiza juu ya kuwa wakarimu wa kupokea wageni

Barua mpya ya Maaskofu wa Italia katika kuadimisha miaka 25 ya waraka wa nilikuwa mgeni mkanikaribisha, inasisitiza juu ya kuwa wakarimu wa kupokea wageni

Barua ya Maaskofu Italia:Mabadiliko ya kina katika tukio nchini mwetu!

22/05/2018 13:50

Maaskofu wa Italia wameandika Barua mpya kwa waamini inayohusu mabadiliko ya kina katika matukio  nchini mwetu. Ni katika fursa ya kuadhimisha miaka 25 tangu ilipotolewa barua ya kwanza 1993 kwa jina:Nilikuwa mgeni mkanikaribisha. Imeandikwa upya kutokana na tukio la wahamiaji! 

 

 

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi 2018 Baraza la Maaskofu Italia wameandika waraka wao kuhusu hadhi ya mtu kuhusiana na kazi

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi 2018 Baraza la Maaskofu Italia wameandika Ujumbe wao kuhusu hadhi ya mtu kuhusiana na kazi

Ujumbe wa Mei Mosi wa Baraza la Maaskofu Italia kuhusu hadhi ya Mtu!

12/04/2018 16:30

Hadhi ya mtu haiwezi kuwa na maana ya kubadilishwa kama fedha, badala yake ni kujumuishwa katika ule mzunguko wa umoja kwa upande wa haki na uwezo ambao ni suala nyeti la kila jamii.Ni uthibitisho kutoka katika Ujumbe wa Tume ya Maaskofu Italia kwa tukio la sikukuu ya Mei Mosi 2018

 

 

Tarehe 12 -15 Aprili kongamano la 62 la Waseminari nchini Italia, na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi Kongamano la Vijana wamissionari-R

Tarehe 12 -15 Aprili kongamano la 62 la Waseminari nchini Italia, na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi Kongamano la Vijana wamisionari huko Sacrofano -Roma

Kongamano la 62 kitaifa la Waseminari kuanzia 12-15 Aprili huko Padua!

11/04/2018 13:29

Tarehe 12 -15 Aprili litafanyika Kongamano la 62 la kitaifa kwa Waseminari nchini Italia litakalofanyika  huko Padua;na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi litafanyika Kongamano la Vijana wamisionari huko Sacrofano-Roma likiongozwa na kauli mbiu:lakini kwakuwa umesema nitatupa ndoto zangu

 

Pamoja na maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana huko Panama:inatanguliwa na mikutano muhimu ya maandalizi

Pamoja na maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana huko Panama:inatanguliwa na mikutano muhimu ya maandalizi

Sinodi ya Vijana 2018 ni kwa ajili ya kupyaisha uso wa Kanisa !

11/01/2018 14:00

Mwaka 2018 unawakilisha matukio muhimu kwa upande wa vijana duniani ikiwa ni Sinodi ya Maaskofu ya Vijana kwa mada ya Vijana,imani na mang’amuzi ya miito 3-28 Oktoba;Vijana wa Italia watakutana na Papa,11-12 Agosti;Mkutano kabla ya Sinodi,19-24 na 25 Machi Siku ya XXXIII Kijimbo ya Vijana!

 

Baraza la Maaskofu Katoliki Italia limetoa kiasi cha Euro Milioni 13 kusaidia mchakato wa maendeleo endelevu duniani!

Baraza la Maaskofu katoliki Itali, CEI limetoa kiasi cha Euro milioni 13 kusaidia mchakato wa maendeleo endelevu sehemu mbali mbali za dunia.

Msaada wa maendeleo endelevu toka Baraza la Maaskofu Katoliki Italia!

04/07/2017 13:50

Familia ya Mungu nchini Italia licha ya changamoto ya athari za mtikisiko wa uchumi kitaifa na kimataifa, imeendelea kulichangia Kanisa Katoliki kwa hali na mali, kiasi cha kuliwezesha Baraza la Maaskofu Katoliki Italia kusaidia pia mchakato wa maendeleo endelevu sehemu mbali mbali za dunia!