Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

"Vatican News"

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na chama cha Pro Petri Sede mjini Vatican

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na chama cha Pro Petri Sede mjini Vatican

Salam za Baba Mtakatifu Francisko kwa wanachama wa Pro Petri Sede!

16/02/2018 16:57

Baba Mtakatifu Francisko tarehe 16 Februari 2018 amekutana na kuzungumza na Chama cha Pro Petri Sede kinachojihusha na wajibu wa huduma ya maskini. Amewakaribisha kufika kwao katika hija kwenye kaburi la Mtakatifu Patro ili kuimarisha imani  kwa upendo na utume wao wa kusaidia wahitaji.
 

 

Watumiaji wa Mtandao wa "Vatican News" wamefikia zaidi ya milioni 4.

Watumiaji wa Mtandao wa Vatican News hadi sasa wamefikia zaidi ya milioni 4.

Watu milioni 4 wanafuatilia mtandao wa "Vatican New"

10/01/2018 09:39

Matunda ya mchakato wa mageuzi na maboresho ya vyombo vya mawasiliano ya jamii vinavyomilikiwa na kuendeshwa na Vatican yanaanza kuonekana baada ya kuanzishwa kwa mtandao wa "Vatican News" unaowawezesha watu kupata habari mbali mbali kwa urahisi zaidi kutoka ndani na nje ya Vatican.