
Papa Francisko: Chuo kikuu ni maabara ya majadiliano, mahali pa kukutana katika huduma ya ukweli, haki, ulinzi na tunza makini ya utu na heshima ya binadamu katika kila hatua.
Chuo kikuu ni maabara ya majadiliano, huduma, ukweli, haki na utu!
14/04/2018 15:24
Baba Mtakatifu Francisko anasema, vyuo vikuu kwa asili yake, vinapaswa kuwa ni maabara ya majadiliano, mahali pa watu kukutana katika huduma ya ukweli, haki, ulinzi na tunza makini ya utu na heshima ya binadamu katika kila hatua ya maisha yake. Ni mahali pa kutafuta na kuambata ukweli wa maisha!
Mitandao ya kijamii: