Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

"Saa 24 kwa Ajili ya Bwana"

Papa Francisko asema, wema na huruma ya Mungu haina mipaka kwa waja wake!

Papa Francisko asema, wema na huruma ya Mungu kwa waja wake hauna mipaka hata kidogo.

Papa Francisko: Upendo na huruma ya Mungu kwa binadamu haina mipaka!

12/03/2018 11:22

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kujenga utamaduni wa kukimbilia daima kwenye huruma ya Mungu ili kuweza kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani zao kwa kutambua kwamba, wema, huruma na msamaha wa Mungu kwa binadamu unavuka hata ubaya na wingi wa dhambi zao!

Papa Francisko: Kauli mbiu ya Ujumbe wa Kwaresima 2018: "Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi utapoa".

Papa Francisko: Kauli mbiu ya Ujumbe wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 "Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi utapoa".

Baba Mtakatifu Francisko: Ujumbe wa Kwaresima kwa Mwaka 2018

06/02/2018 14:52

Kwaresima ni wakati muafaka wa kujiandaa kwa ajili ya kuadhimisha Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu! Kauli mbiu ya Ujumbe wa Papa Francisko kwa kipindi cha Kwaresima kwa mwaka 2018 ni "Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi umepoa"

Papa Francisko anawaalika waamini kushiriki kwa wingi katika mpango mkakati wa saa 24 kwa ajili ya Bwana!

Papa Francisko anawaalika waamini kushiriki kikamilifu katika mpango mkakati wa saa 24 kwa ajili ya Bwana, Ijumaa na Jumamosi zinazotangulia Jumapili ya VI ya Kipindi cha Kwaresima.

Itikieni kwa ukarimu mpango mkakati wa Saa 24 kwa ajili ya Bwana!

22/03/2017 16:48

Baba Mtakatifu Francisko amewaalika waamini kushiriki kwa moyo wa ukaribu, upendo, toba na ibada mpango mkakati wa saa 24 kwa ajili ya Bwana. Hiki ni kipindi muhimu sana kinachowapatia waamini nafasi ya kusali, kuabudu Ekaristi Takatifu na kujipatanisha na Mungu kwa njia ya Sakramenti ya Kitubio!

 

Waraka wa kitume: Misericordia et misera unakazia kwa namna ya pekee umuhimu wa kuambata na kuikumbatia huruma ya Mungu kwa njia ya ushuhuda !

Waraka wa kitume: Misericordia et misera: "Huruma na amani" unakazia umuhimu wa kuambata na kukumbatia huruma ya Mungu kwa njia ya ushuhuda wa maisha.

Waraka wa Kitume: "Misericordia et misera": "Huruma na amani"

21/11/2016 12:06

Baba Mtakatifu Francisko katika Waraka wake mpya wa Huruma na amani kama sehemu ya mwendelezo wa maadhimisho ya Mwaka wa huruma ya Mungu anakazia: mambo msingi ya imani:toba, wongofu wa ndani, huruma; upatanisho na upendo; maisha ya Kisakramenti, Biblia na matendo ya huruma!

Yesu mwalimu wangu nataka kuona tena!

Yesu mwalimu wangu nataka kuona tena!

Jipe moyo! Inuka, anakuita!

05/03/2016 07:33

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu iwe ni fursa ya kupiga ukelele kama alivyofanya Bartimayo kipofu, mwalimu wangu nataka kuona tena! Ni kipindi cha kupokea na kuambata upendo na uwepo endelevu wa Mungu katika maisha ya mwamini; tayari kumrudia kwa toba na wongofu!

Mpango mkakati wa Saa 24 kwa ajili ya Bwana ni kielelezo cha ushuhuda wa umoja katika imani.

Mpango mkakati wa Saa 24 kwa ajili ya Bwana ni kielelezo cha ushuhuda wa umoja katika imani.

Mpango mkakati wa Saa 24 kwa ajili ya Bwana!

04/03/2016 14:57

Baraza la Kipapa la Uhamasishaji wa Uinjilishaji Mpya lililopewa dhamana ya kuratibu na kusimamia matuio makuu ya maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu linasema: Sala, Tafakari na Ibada mbali mbali ni namna nyingine ya kuvuta na kuambata huruma ya Mungu!

 

Mpango mkakati wa saa 24 kwa ajili ya Bwana!

Mpango mkakati wa saa 24 kwa ajili ya Bwana!

Mpango mkakati wa Saa 24 kwa ajili ya Bwana!

03/03/2016 08:38

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu ni fursa makini ya kugundua kwa mara nyingine tena umuhimu wa Sakramenti ya Upatanisho katika maisha ya kikristo, ili kuambata upendo wa huruma ya Mungu, hasa wakati huu wa Kipindi cha Kwaresima.

 

Siku ya Sala ya Kiekumene, watoto wanapewa kipaumbele cha kwanza katika ujenzi wa Ufalme wa Mungu.

Siku ya Sala ya Kiekumene, watoto wanapewa kipaumbele cha kwanza katika ujenzi wa Ufalme wa Mungu hapa duniani.

Watoto kiini cha Sala ya Kiekumene!

03/03/2016 08:25

Kuanzia mwaka 1927, kila Ijumaa ya kwanza ya Mwezi Machi, Makanisa mbali mbali duniani yanaadhimisha Siku ya Sala ya Kiekumene na kwa mwaka huu, maadhimisho haya yanatoa kipaumbele cha kwanza kwa watoto katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu hapa duniani.