Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

"Kuutafuta Uso wa Mungu"

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, daima wakiwa waaminifu kwa Kristo Yesu!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo.

Changamoto ya maisha ya kitawa katika kuutafuta Uso wa Mungu!

01/02/2018 06:58

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba ya Kitume "Vultum Dei Quaerere", yaani "Kuutafuta Uso wa Mungu anabainisha mambo msingi yanayopaswa kuzingatiwa na wamonaki katika maisha na utume wao, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, tayari kutoa ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Mwanzilishi mkuu wa Shirika Charles de Foucauld akiwa na Mgdaleine wa Yesu ameandika tafakari nyingi za kiroho kuonesha upendo mkubwa wa Yesu

Mwanzilishi mkuu wa Shirika Charles de Foucauld akiwa na Mgdaleine wa Yesu ameandika tafakari nyingi za kiroho kuonesha upendo mkubwa wa Yesu aliokuwa nao ambao ni urithi kwa waamini wengi

Dada wadogo wa Yesu wameancha utume baada ya miaka 60 Afghanstan

29/03/2017 15:21

Hawa ni watawa walio itikia wito kujibu upendo wa Mungu kwa kumfuasa Kristo katika kuiishi Injili ya Roho ya Betlehemu na Nazaret.Ni roho iliyo jikita katika ukimya wa kujitoa,sala ,urafiki na matendo kwa kukumbatia ulimwengu.Kwa miaka 60 nchini Afghanistan wamekuwa ndugu wa karibu na watu

 

 Ingawa dhambi ya mtu mmoja ilisababisha kifo kwa wote , kwa fadhili ya mtu mmoja yaani Yesu Kriso , sote tumekombolewa

Ingawa dhambi ya mtu mmoja ilisababisha kifo kwa wote , kwa fadhili ya mtu mmoja yaani Yesu Kriso , sote tumekombolewa

Katika ubatizo tunashiriki kifo na ufufuko wa Yesu Kristo!

24/03/2017 16:41

Mtakatifu Paulo anasema ubatizo ni kama kubatizwa katika kifo cha Yesu .Ndiyo maana zamani wakati wa kubatiza mtu alikuwa akiingia ndani na kufunikwa na maji kabisa,akiwa amevaa nguo nyeupe kwa maana ya kwamba dhambi zote zilikuwa zinabaki zimefunikwa na maji na anatoka akiwa kiumbe mpya.

 

Watawa wanapaswa kukaza macho yao kwenye Uso wa Yesu pamoja na kusikiliza kwa makini kilio cha walimwengu ili kukipatia jibu makini!

Watawa wanapaswa kukaza macho yao kwa Uso wa Yesu pamoja na kujenga utamaduni wa kusikiliza kwa makini kilio cha walimwengu, ili kukipatia jibu kwa wakati muafaka!

Watawa wa kike ni alama ya matumaini kwa walimwengu!

31/10/2016 10:16

Watawa wa kike katika maisha ya taamuli ni alama ya matumaini kwa walimwengu, kumbe wanapaswa kuendelea kukaza macho yao kwenye Uso wa Kristo pamoja na kujenga utamaduni wa kusikiliza kwa makini Neno la Mungu pamoja na kilio cha walimwengu ili kuweza kukijibu kwa makini!

 

Maisha ya kitawa ni nguzo muhimu inayochangia katika ustawi, maendeleo, utume, maisha na utakatifu wa Kanisa.

Maisha ya kitawa ni nguzo muhimu inayochangia: ustawi, maendeleo, maisha, utume na utakatifu wa Kanisa.

Watawa huchangia ustawi, maendeleo na utakatifu wa Kanisa!

28/10/2016 15:14

Maisha ya kitawa ni nguzo muhimu sana inayochangia ustawi na maendeleo ya Fumbo la Mwili wa Kristo, yaani Kanisa; dhamana inayopaswa kutekelezwa kwa ari, moyo mkuu na furaha katika maisha, utume na utakatifu wake. Hii ni changamoto ya kudumisha mahusiano shirikishi ndani ya Kanisa!

Wamonaki katika hija ya kuutafuta Uso wa Mungu!

Wamonaki katika hija ya kuutafuta Uso wa Mungu

Wamonaki na safari ya "kuutafuta uso wa Mungu"

23/07/2016 16:36

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba mpya ya maisha ya Kimonaki, "Kuutafuta Uso wa Mungu" "Vultum Dei Quaerere" anakazia mambo makuu 12 yanayopaswa kufanyia tafakari na mang'amuzi tayari kwa kuutekelezaji pamoja na nyonngeza ya kanuni na sheria 14 za maisha ya Kimonaki!