Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

"Kumtafuta Mungu"

Sura na sauti  ya nabii Isaya inavyojieleza ni kama ile ya Mungu akimwelekea mtoto wake kwa sauti ndogo ili kumtuliza mtoto wake

Sura na sauti ya nabii Isaya inavyojieleza ni kama ile ya Mungu akimwelekea mtoto wake kwa sauti ndogo ili kumtuliza mtoto wake

Papa:Mungu anatumia sauti kama ya mtoto kubembeleza mwanae!

14/12/2017 16:41

Huruma ya Mungu ndiyo imekuwa kitovu cha mahubiri ya Baba Mtakatifu Francisko,siku ya Alhamis 14 Desemba 2017 katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta mjini Vatican.Mada ya siku imetolewa katika kitabu cha Nabii Isaya na zaburi semayo Bwana ni mwema kwa watu wote na rehema zake zi juu ya watu

 

Papa katika Katekesi yake amesema, Sala ni kukutana na Upendo wa Mungu kwa njia ya Neno, Mwili na damu ya Yesu Kristo

Papa katika Katekesi yake amesema, Sala ni kukutana na Upendo wa Mungu kwa njia ya Neno, Mwili na damu ya Yesu Kristo

Papa:Sala ni kukutana na Upendo wa Mungu kwa njia ya Neno,Mwili na Damu

15/11/2017 16:37

Tunaendelea na Katekesi juu ya MisaTakatifu. Ninapendelea kuanza na  mantiki rahisi ambayo inasaidia kuelewa uzuri wa maadhimisho ya Ekaristi.Misa ni sala,zaidi ya hayo ni sala kuu, iliyo ya juu zaidi katika ukuu wakea.Ni kukutana na upendo wa Mungu kwa njia ya Neno,Mwili na Damu ya Yesu.

 

Mungu linatakaswa na kutukuzwa:Ni maneno ya Baba Mtakatifu akizungumza na Pd.Pozza wakitafakari sala ya Baba Yetu

Katika sala ya Baba Yetu,Jina la Mungu linatakaswa na kutukuzwa:Ni maneno ya Baba Mtakatifu akizungumza na Pd.Pozza wakitafakari sala ya Baba Yetu

Papa:Katika sala ya Baba Yetu,Jina la Mungu linatakaswa na kutukuzwa!

02/11/2017 15:49

Baba Mtakatifu Francisko anasema,suala la kutafakari Sala ya Baba Yetu,linamfanya ajisikie kama mtoto mdogo aliyebebwa kwenye mikono ya baba yake mzazi,hivyo anajiaminisha kwenye mikono ya Mwenyezi Mungu.Ilikuwa ni sehemu ya mazungumzo kati ya Baba Mtakatifu na Pd.Pozza