Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

"Elimu ya Amani"

Baba Mtakatifu francisko aliomba kusali na kufunga kwa ajili ya amani duniani tarehe 23 Februari 2018

Baba Mtakatifu francisko aliomba kusali na kufunga kwa ajili ya amani duniani tarehe 23 Februari 2018

Tarehe 23 Februari Waumini wote mnaalikwa kusali na kufunga kwa ajili ya amani

22/02/2018 16:23

Siku ya sala na kufunga kwa ajili ya amani tarehe 23 Februari 2018 ni kwa dunia nzima kualikwa kwa namana ya oeke kusali kwa ajili ya amani ya Jamhuri ya Demokrasia  ya Congo, udan ya Kusini na mahali popote penye ghasia vurugu na vita kwa mujibu wa mapendekezo ya Baba Mtakatifu Francisko

 

 

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe!

05/12/2017 15:50

Utunzaji wa wazee ni muhimu kwa kuendeleza elimu kwa kizazi endelevu.Ndiyo ujumbe mkuu wa Baba Mtakatifu Francisko kwa njia ya video akiwakilisha nia ya sala kwa mwezi wa kumi na mbli.Anasisitizia juu ya kutazama na kujifunza kutoka katika hekima ya mababu na nafasi iliyopo katika jumuiya.

 

Wanawake ni vyombo na mashuhuda wa malezi na majiundo ya amani na udugu duniani!

Wanawake ni vyombo na mashuhuda wa malezi na makuzi ya amani na udugu duniani!

Wanawake katika malezi ya amani na udugu duniani!

07/06/2017 16:14

Baraza la Kipapa la Majadiliano ya Kidini katika mkutano wake wa mwaka uliofunguliwa Jumatano tarehe 7 Juni 2017 unajikita katika upembuzi yakinifu ili kuangalia mchango wa wanawake katika elimu na makuzi ya amani na udugu duniani, dhana inayochambuliwa na wanawake wenyewe!