2017-10-24 16:22:00

Papa amemteua Mwakilishi wa Kudumu ofisi za Jumuiya ECOWAS/CEDEAO


Baba Mtakatifu Francisko amemteu Mwalikilishi wa Kudumu wa Vatican katika ofisi za Jumuiya ya Kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki (ECOWAS/CEDEAO) Askofu Mkuu Antonio Guido Filipazzi wa Sutri  ambaye ni Balozi wa Kitume  nchini Nigeria.

Sr Angela Rwezaula
Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican

 








All the contents on this site are copyrighted ©.