Tarehe 24 Oktoba 2017 Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu Michael Dixon Bhasera, wa Jimbo la Masvingo kuwa Msimamizi wa Kitume katika Jimbo liliokuwa wazi la Gweru Zimbawe .Jimbo Katoliki la Gweru lilianzishwa mwaka 1955 ni sehemu ya Jimbo kuu la Bulawayo, Zimbabwe.
Sr Angela Rwezaula
Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican
All the contents on this site are copyrighted ©. |