2017-09-21 17:15:00

Papa Francisko aunda Jimbo jipya la Bomadi, Nigeria


Baba Mtakatifu Francisko ameunda Jimbo Katoliki la Bomadi, nchini Nigeria litakalo kuwa chini ya Jimbo kuu la Benin. Wakati huo huo, Baba Mtakatifu Francisko, amemteua Monsinyo Hyacinth Oroko Egbebo, kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo Katoliki Bomadi, Nigeria.

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S

Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican.








All the contents on this site are copyrighted ©.