2017-02-24 16:09:00

Vatican kununua bidhaa ya wakulima waathirika wa tetemeko


Kwa maongozo ya Baba Mtakatifu, Mhusika wa Kitume kwa kutoa misaada Vatican, ametemebelea hivi karibuni katika maeneo ya liathiriwa na tetemeko la ardhi Italia ya kati  ili kununua chakula na vifaa vingine vyo kutoka kwa wauzaji wadogwadogo  wenye matatizo kwasababu ya tetemeko la ardhi .
Kutokana na makubaliano ya Askofu wa Jimbl la Rieti  Mosinyo Domenica Pompili Monsnyo Giovanni D’Ercole wa Jimbo la Ascoli Piceno , Monsinyo Francesko Brugnaro wa Jimbo la  Camerino San Severino na   askofu Renato Boaccardo wa Jimbo la Spoleto Norcia, waliweza kubainisha baadhi ya makundi ya wakulima na wazalishaji ambao wanakaribia kufilizika kutokana na uharibifu wa mashamba yao na mifugo kutokana na tetemeko la ardhi iliyo wakumba.


Mtume wa Mfuko wa  misaada kutoka Vatican ameweza kununua kiasi kikubwa cha bidhaa zao walizo nazo , kwa nia ya kutimiza lengo la usemi wa Baba Mtakatifu Francisko," kuwasaidia watu  na kuwatia moyo waendelelee na shughuli zao".Hii ni ishara sambamba na utume wa Baba Mtakatifu Francisko ambao mara kwa mara anakumbusha wakati wa mikutano yake ya kwamba, "kama kazi unayofanya haikupatii mkate wa chakula ni sawa na kupoteza hadhi"Kwa maongozo ya Baba Mtaktifu, Mhusika wa Kitume kwa kutoa misaada Vatican, ametembelea hivi karibuni katika maeneo ya walio athirika na tetemeko la ardhi Italia  ili kununua chakula na vifaa vingine kutoka kwa wauzaji wadogwadogo  wenye matatizo kwasababu ya tetemeko la ardhi .

Kutokana na makubaliano ya Askofu wa Jimbo la Rieti  Mosinyo Domenica Pompili Moninyo Giovanni D’Ercole wa Ascoli Piceno , Monsinyo Francesko Brugnaro wa Camerino San Severino  MAskofu Renato Boaccardo wa Jimbo la Splto Norcia, waliweza kubainisha baadhi ya makundi ya wakulima na wazalishaji ambao wanakaribia kufilisika kutokana na uharibifu wa mashamba yao na mifugo  vilivyosababishwa na tetemeko la ardhi.

Mwakilishi kutoka katika kitengo cha mfuko wa misaada kutoka Vatican ameweza kununua kiasi kikubwa cha bidhaa zao walizo nazo , kwa nia ya kutimiza lengo la usemi wa Baba Mtakatifu Francisko, alio sema wa kuwasaidia watu  na kuwatia moyo waendelelee na shughuli zao.Hii ni ishara sambamba na utume wa Baba Mtakatifu Francisko ambao mara kwa mara anakumbusha wakati wa mikutano yake ya kwamba kama hupati mkate wa chakula , ni kupoteza hadhi.

Bidhaa zote ziliozonunuliwa zilisambazwa mara moja kugawanywa katika vituo mbalimbali vya hisani katika mji wa Roma kwa ajili ya maandalizi ya mlo wa kila siku kwa watu wenye shida na wasio kuwa na makazi.Ni muda mrefu hata katika Soko kuu la Vatican kwaajili ya wafanyakazi wa Vatican, unaweza kupata bidhaa hizo mbalilmbali kutoka kwa wakulima walio athirika na tetemeo la ardhi , ili kuweza kutoa mshikamano wa kiuchumi katika sehemu hiyo ambayo bado wana shida.

 

Sr Angela Rwezaula 

Idhaa ya Kiswahili ya Radio vatican

 

 

 

atican, unaweza kupata bidhaa hizo kutoka kwa walulimwa walio athirika na tetemeo la ardhi , ili kuweza kutoa mshikamanio wa kiuchumi katka sehemu hiyo ambayo bado wana shida.

 








All the contents on this site are copyrighted ©.