Jumamosi 17 Desemba 2016 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Baba Mtakatifu Francisco
atafikisha miaka 80 ya kuzaliwa .
Saa mbili asubuhi ya siku hiyo ,katika Kanisa dogo Paolina , Baba Mtakatifu ataadhimisha
ibada ya misa Takatifu akiwa na Makardinali wanaoishi Roma. Kwa upande wa baba Mtakatifu
siku hiyo itakuwa kama kawaida , iliyo jaa shughuli za kichungaji, kwani ratiba yake
atampokea Rais wa Jamhuri ya Kisiwa cha Malta , Katibu wa kiongozi wa Baraza la Maaskofu
, Askofu wa Chur huko Uswis , na Jumuiya ya Nomadelfia.
Kwa yeyote anayetaka kutuma ujumbe wa kumpa heri Baba Mtakatifu anaweza kutumia barua pepe kwa lugha mbalimbali
Papafranciscus80@vatican.va (Latino) PapaFrancesco80@vatican.va (Italian)
PapaFrancisco80@vatican.va (Spanish / Portoghese) PopeFrancis80@vatican.va (English)
PapeFrancois80@vatican.va (French) PapstFranziskus80@vatican.va (German)
PapiezFranciszek80@vatican.va (Polish)
All the contents on this site are copyrighted ©. |