2016-06-27 14:33:00

Maaskofu wakuu 25 kupewa Pallio Takatifu mjini Vatican


Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Sherehe ya Watakatifu Petro na Paulo miamba wa imani, hapo tarehe 29 Juni 2016 majira ya saa 3:30 asubuhi anatarajiwa kuongoza Ibada ya Misa takatifu kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican na kutoa Pallio takatifu kwa Maaskofu wakuu wapya ishirini na watano walioteuliwa katika kipindi cha Mwaka 2015- 2016. Kutoka Kanisa Barani Afrika, ni Askofu mkuu mteule Roger Houngbedgi wa Jimbo kuu la Cotonou nchini Benin, aliyeteuliwa hivi karibuni na Baba Mtakatifu Francisko.Maaskofu wakuu wengine ni kama ifuatavyo:

  1.  

Askofu mkuu Dominique LEBRUN

Jimbo kuu la Rouen (Ufaransa)

  1.  

Askofu mkuu Luis Gerardo CABRERA HERRERA, O.F.M.

Jimbo kuu la Guayaquil (Equador)

  1.  

Askofu mkuu Salvatore LIGORIO

Jimbo kuu la Ar Potenza-Muro Lucano-Marsico Nuovo (Italia)

  1.  

Askofu mkuu  Roque PALOSCHI

Jimbo kuu la Porto Velho (Brazil)

  1.  

Askofu mkuu Matteo Maria ZUPPI

Jimbo kuu la Bologna (Italia)

  1.  

Askofu mkuu  Corrado LOREFICE

Jimbo kuu la  Palermo (Italia)

  1.  

Askofu mkuu Fidel HERRÁEZ VEGAS

Jimbo kuu la Burgos (Hispania)

  1.  

Askofu mkuu Juan José OMELLA OMELLA

Jimbo kuu la Barcelona (Hispania)

  1.  

Askofu mkuu Jozef DE KESEL

Jimbo kuu la Mechelen-Brussel, Malines-Bruxelles (Ubelgiji)

  1.  

Askofu mkuu Lorenzo PIRETTO, O.P.

Jimbo kuu la Izmir (Uturuki)

  1.  

Askofu mkuu Zanoni DEMETTINO CASTRO

Jimbo kuu la Feira de Santana (Brazil)

  1.  

Askofu mkuu  Rodolfo Luís WEBER

Jimbo kuu la Passo Fundo (Brazil)

  1.  

Askofu mkuu Lauro TISI

Jimbo kuu la Trento (Italia)

  1.  

Askofu mkuu Felice ACCROCCA

Jimbo kuu la Benevento (Italia)

  1.  

Mons. Darci José NICIOLI, C.SS.R.

Jimbo kuu la Diamantina (Brazil)

  1.  

Askofu mkuu Bernard Anthony HEBDA

Jimbo kuu la Saint Paul and Minneapolis (U.S.A.)

  1.  

Askofu mkuu Juan de la Caridad GARCÍA RODRÍGUEZ

Jimbo kuu la San Cristóbal de La Havana (Cuba)

  1.  

Askofu mkuu Ruy RENDÓN LEAL

Jimbo kuu la Hermosillo (Mexico)

  1.  

Askofu mkuu Kenneth David Oswin RICHARDS

Jimbo kuu la Kingston, Nchini Jamaica (Antille)

  1.  

Askofu mkuu Adam SZAL

Jimbo kuu la Przemyśl ya Madhehebu ya Kilatini (Polandi)

  1.  

Askofu mkuu Francisco MORENO BARRÓN

Jimbo kuu la Tijuana (Mexico)

  1.  

Askofu mkuu Marcos Aurelio PÉREZ CAICEDO

Jimbo kuu la Cuenca (Equador)

  1.  

Askofu mkuu Christopher M. CARDONE, O.P.

Jimbo kuu la Honiara (Visiwa vya Solomoni)

  1.  

Askofu mkuu Basilio ATHAI

Jimbo kuu la Taunggyi (Myanmar)

  1.  

Askofu mkuu Roger HOUNGBÉDJI, O.P.

Askofu mkuu mteuliwa wa Jimbo kuu la Cotonou (Benin)

 

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S.

Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican.








All the contents on this site are copyrighted ©.