HomeRadio Vaticana
foto testata

HABARI ZA AFRIKA

  HABARI MPYA
  TAHARIRI

 
On Demand

Habari za kila siku kutoka Radio Vatican kwa lugha ya Kiswahili

Mipango ya ujenzi wa Kanisa la Kianglikan Gahini, yakamilka
Ujenzi wa Kanisa la Kianglikan la Gahini wilayani Kayonza Rwanda, utatumia kiasi cha Fedha ya Rwanda billioni moja hadi kukamilika. Denisi Karera , Mkuu wa Kamati kuu ya Kanisa , ambaye pia ni mkuu wa tume kwa ajili ya kazi ya ujenzi wa kanisa  
Wito wa Maaskofu Katoliki wa Ghana kwa wanasiasa
Maaskofu Katoliki nchini Ghana wameitaka serikali na vyama vya upinzani , kufanyakazi kwa ushirikiano na kutengeneza mazingira yanayofaa, vijana kupata ajira, kuepusha matendo maovu, rushwa na ubadhilifu, ubabe wa kisiasa au kidini usiokuwa na  
UNESCO- kusaidia ukarabati wa makanisa na Misikiti -Misri
Shirika la Umoja wa Mataifa kwa ajii ya elimu, sayansi na utamaduni( UNESCO), alituma watalaam wake Misri, ili wasaidie kukarabati majengo ya thamani kubwa kihistoria yaliyoharibiwa yakiwemo , Makanisa na Misikiti. Hili limeelezwa na Mohamed Sameh  
Maombolezo :Askofu Moses Kulola wa EAG- Tanzania amefariki duniani .
Wakristu na watu wenye mapenzi mema nchini Tanzania wanaomboleza kifo cha Askofu Mashuhuri katika makanisa ya Assemblies of God Tanzania , Askofu Moses Kulola, aliyefariki dunia Alhamis Agosti 29 , 2013.

Hadi kifo chake , Askofu Moses Kulola,   
Marehemu Kardinali Medardo Mazombwe kuzikwa Jumanne - Lusaka Zambia
Marehemu Kardinali Medardo Mazombwe, Askofu Mkuu Mstaafu wa Lusaka, aliyefariki dunia Alhamis 29 Agosti 2013, hospitalini mjini Lusaka, atazikwa kwa heshima ya kitaifa , Jumanne 3 Septemba 2013, mjini Lusaka.

Jumapili ujumbe wa Mapadre 30,  
Ombeni Amani Afrika Kati: Mashahidi wa imani na Upendo
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwenye mtandao wa Tweet siku ya Alhamisi (29.08.2013) alisema kwamba Mungu ana sura na jina: Yesu Kristo. Sura hii ilionekana hivi majuzi na masista wa Monasteri ya Mama wa Neno la Mungu kwenye kitongoji  
Mitandao ya kijamii: Milango ya ukweli na imani, uwanja mpya wa uinjilishaji
Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika Kusini litaadhimisha Jumapili ya mawasiliano ya kijamii siku ya Jumapili ya tarehe 1 Septemba 2013. Mada ya maadhimisho hayo itakuwa Mitandao ya kijamii: Milango ya ukweli na imani, uwanja mpya wa uinjilishaji.

  
Uganda na Italia kuendeleza ushirikiano!
Nchi za Uganda na Italia zimekuwa marafiki wa muda mrefu na zitaendelea kukuza urafiki huo katika jitihada za kuyaimarisha mataifa hayo mawili na kuendeleza maendeleo yao ya kiuchumu na kijamii. Hayo yamesemwa na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa  
Mchango wa wanawake Barani Afrika!
Zaidi ya wanawake Wakatoliki 6000 wamehudhuria Semina ya kumi kimataifa kwa ajili ya Wanawake Wakatoliki. Semina hiyo imefanyika hivi karibuni mjini Cotonou, Benin, na kuyahusisha mataifa ya Benin, Togo, Ghana, Nigeria, Niger, Burkina Fasso,  
Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya 22 ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa
Ni Dominika nyingine tunakutana katika safari ya wokovu tukijaribu kusifu jina la Bwana kwa njia ya tafakari ya Neno lake. Ni Dominika ya 22 ya mwaka C. Mama Kanisa atupa chakula ndilo Neno la Bwana akisema Unyenyekevu ndiyo iwe dira ya maisha yetu  
Jimbo Katoliki Mbeya lakabidhiwa ardhi kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Wauguzi
Kama wasemavyo wahenga kuwa machozi ya mtu mzima hayaendi bure ndivyo ilivyotokea kwa Askofu Evaristus Marcus Chengula wa Jimbo Katoliki Mbeya kwa Serikali ya Mkoa wa Mbeya kuhusu ardhi ya Kijiji cha Lupata aliyoanza kuililia tangu mwaka 2009 kwa  
Mshikamano wa Maaskofu na waathirika wa machafuko ya kisiasa nchini Misri
Marekani haina budi kushirikiana na Jumuiya ya Kimataifa ili kuuunga mkono juhudi zinazofanywa na wananchi wa Misri ili kumaliza migogoro na malumbano ya kivita na kurejesha amani na utawala wa kisheria nchini Misri.

Ni maneno ya Askofu Richard Pates,  

The Need to respect Racial Diversity in the Church of Christ

“In turn our greetings to Africa; we cannot help but bring to mind its ancient glories. Think of the Christian churches of Africa, the origin of which dates back to the Apostolic times and is tied up, according to tradition, with the name and the teaching of the Evangelist Mark. We think of the  

Mappa Interattiva
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


Arabic French English Italian Kiswahili Portuguese
Vatican Radio - Information Area on Africa - All the contents on this site are copyrighted ©.